Namna ya kufika Mhalo Beach Logde

Kwa Barabara: Lenga kufika Mbambabay kwa kutumia bararaba kutokea Songea, kupitia Mbinga.

Kwa ziwa Nyasa: Lenga Mbambabay kutokea Bandari ya Itungi, kupitia Bandari kadhaa za ziwa Nyasa.

Kwa Ndege: Unafika Songea, alafu unatumia usafiri wa Barabara hadi Mbambabay kupitia Mbinga.

Coordinates za Mbambabay
Latitudo : -11° 16’ 60.00” S Longitudo : 34° 45’ 59.99” E
Tutumie Ujumbe