Tuna kila aina ya vifaa na mazingira mazuri ndani ya vyumba kukupa usiku mzuri baada ya kutumia siku ndefu.

Taarifa Muhimu

  • Kuingia: 12:00 PM
  • Kutoka: 10:00 AM
  • Kifungua kinywa cha Bure
  • Chakula chumbani
  • Huduma ya chumbani inapatikana kwa ombi

25,000 TZS

Taarifa za Chumba

Kitanda kizuri
Vifaa vizuri vya bafuni
Usafi wa kila siku
Huduma ya kupiga simu
Kikausha Nywele kwa ombi
Meza na kiti kizuri

Taarifa za Hoteli

Huduma Masaa 24
Maegesho ya Magari
Sehemu ya kucheza watoto
Mkahawa & Baa
Mazingira safi na yaliyopangiliwa